Sunday, 25 June 2017

Saida Karoli na Mapenzi


“Nimegundua wanaume wengi hawana upendo wa dhati, wanakupenda pale unapokuwa na kitu na kisha wanakuacha. Nimekuwa na uhusiano na baadhi ya wanaume, lakini niligundua walikuwa wanataka kitu na walipopata wakaniacha. Kuna mpenzi wangu wa zamani ambaye tulipendana sana, huyu baba namsaka kweli kweli kwani huwa naumia kwa kumfikiria" - Saida Karoli

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!