Sunday, 25 June 2017

Rayvanny Ameshinda Tuzo ya BET 2017


Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.
Alichokiandika Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET 2017 
kama ‘Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! 😭….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME BOSS!!! @babutale‘
‘THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!!
WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo😛 #Wcb_Wasafi #WinningTeam!’

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!