Saturday, 24 June 2017

Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ametoa zawadi ya Eid kwa Yatima na Wazee

Image may contain: one or more people and outdoor
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ametoa zawadi zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi kwa makazi ya wazee wasiojiweza na makao ya watoto yatima katika makundi Maalum ili kuwawezesha kusheherekea vyema sikukuu ya Eid el Fitr.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!