Thursday, 22 June 2017

Enzi hizo!

Nakumbuka kipindi hiko nipo shule ya msingi tulikuwa tunaimba nyimbo zilizokuwa zinatupa uzalendo na taifa letu,nakumbuka ule wimbo wa IDD amin akifa Mimi siwezi kulia nitamtupa kagera awe chakula cha mambaHapo kidumu chako cha kumwagilia na fagio vipo chini unaimba kwa uchungu huku ukitamani IDD amini atokee mbele yako umpe maamba kati ya kutosha,tulilishwa sumu ya kutosha siyo siku hizi watoto wanafuatwa na mabasi kwenda shule,uchungu wa makinikia watautoa wapi,namiss maisha ya shule ya msingi aiseeee,pichani IDD amin akiwapa joto ya jiwe wazungu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!