Wednesday 29 March 2017

RC Makonda ahojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge


Makonda.PNG 
Mhe Makonda amewasili Bungeni na kupokelewa na Mkuu kitengo cha Habari-Bunge Owen Mwandumbya kuitikia wito wa Kamati ya Bunge.




IMG-20170329-WA0005.jpgIMG-20170329-WA0006.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumanne hii ameanza kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge.


Ifahamike kuwa, RC Makonda meitwa kujibu tuhuma za kutoa matamshi ya kudharau Mamlaka ya Bunge aliyotoa mapema mwaka huu kwamba wengi wao hakuna wanachofanya zaidi ya kuchekesha na kulala tu bungeni.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!