Sunday, 29 January 2017

Picha za uokoaji kwa waliofukiwa mgodini Geita


Taarifa zilizoripotiwa kutokea mgodini Geita kuhusu Wachimbaji 15 waliofukiwa na kifusi cha udongo kwa zaidi ya siku tatu zinasema kwamba wachimbaji hao wote 15 wameokolewa wakiwa hai na utaratibu mwingine wa huduma ya kwanza unaendelea.Picha kwa hisani ya MillardAyo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!