Thursday 8 December 2016

Magari 4 Yagongana Mbeya, ni Basi la Abiria, Malori Mawili ya Mizigo na Pick-Up

ajali1



ajali2

ajali3

ajali4

MBEYA: Basi la abiria mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya mizigo (ambapo moja ni aina ya Scania lenye namba za usajili T 103 ATX) na gari dogo aina ya Toyota Pick-up yamegongana na kusababisha ajali leo asubuhi katika eneo la Igurusi mkoani Mbeya.
Taarifa zimeeleza kuwa, basi hilo la New Force lilikuwa likitokea Tunduma kuelekea jijini Dar es Salaam likiwa na abiria wake na hakuna mtu yeyote aliyeripotiwa kupoteza maisha kutokana na ajali hiyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!