Friday, 11 November 2016

UKATILI: MWANAMKE AMUINGIZA NDANI A ANDA LA MBWA MTOTO WA MIAKA 10.


UKATILI: Mwanamke mmoja mkazi wa Mwananyamala anadaiwa kumvuta na kumuingiza ndani ya banda la mbwa Mtoto Mohammed Shaaban mwenye umri wa miaka kumi mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi mwananyamala na kung’atwa sehemu ya mwili wake.

Mbwa waliomshambulia mtoto huyo na kumng’ata ni wa mama huyo, lakini pia mtoto huyo amekosa huduma ya sindano ya kichaa cha mbwa katika hospitali mbili za serikali huku mtuhumiwa akiwa hajachukuliwa hatua yeyote.

Mashuhuda wasimulia

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!