Sunday, 13 November 2016

Copy N paste!!mangekimambi_Basi I give up....😭😭😭But I still love her nothing can change that , but I wish she knew her worth...Mimi dadake na uzee wangu na watoto msururu siwezi guswa na kijanaume ka hiko much less kujirekodi....Doh yani Hata Mr. Rolex akiingia mitini bora nife peke yangu bila mwanaume Ila bado sijatembea na dizaini hizo.huyo Mr. Rolex mwenyewe na mihela yake siwezi kujirekodi nae hivi....Wema we have all been through that age ulionayo but we didn't record ourselves doing this shit..If you have decided to date losers that's fine it's your life but usijirecord video Kama hizi, hizi video ndo zitakazowakimbiza wanaume wa maana kukufata mdogo wangu.Unless Kama una plan ya kukimbizana na watu wa dizain hii maisha yako yooote Ila hizi video zitakuharibia maisha yako mdogo wangu. Unamwonyesha nani ujinga ka huu tena unafanya na kimtu ka hiki??
.
.
.Bora Hata Zari akijirekodi bafuni anafanya upuuzi lakini angalau anafanya na mwanaume mwenye pesaaaa hata ya kununua nyumba akamuweka ,yule anajidhalilisha for something big. Sasa wewe unajidhalilisha na mtu Ambae hata pesa ya kukulipia kodi ya nyumba yako hana.Si ujinga huo?
.
.
Maybe you are lonely maybe you are desperate for a boyfriend sawa kuwa nae but why record yourself?? Hivi kweli na uzuri huo ulionao huwezi pata mwanaume wa maana.Wema You have no idea how much I want to see you living THE life . Wanaume wa Tanzania wake very sensitive na mwanamke anaejulikana kuwa katembea na watu wengi especially kwa ushahidi Kama huu, hakuna mwanaume wa Maana mwenye hela ndefu au career ya Maana atakaeweza kuoa mwanamke mwenye mavideo kama Haya..Wanaume wa kitanzania watakaoweza kuwa na wewe ni losers Kama huyo Calisah sababu they want to use you kukuza majina yao.Wema isingekuwa mambo ya kujianika na maloser kama hawa, wewe sio mwanamke wa kushindwa kuwakamata wanaume kama kina Nape, Makonda, mabachelor kama kina Sugu au hata Magufuli mwenyewe ukaishi kimadam..ungenipa mimi hilo shepu, hiyo sura na huo umaarufu uone jinsi mi na Magufuli tungekuwa tunaitana baby.Mbona huna target ya maisha wewe?
.
.
Sina nguvu ya kuposti video kwenye page yangu.Mkaioneege huko sio hapa....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!