Saturday 11 June 2016

PEDEZA NA MITINDO/ MISHONO YA VITENGE!

Pata muonekano kama huu kwa kuchanganya vitenge mbalimbali. ukiangalia vizuri ni mchaganyiko wa vitenge vya aia mbili na kitambaa cha rangi ya blue.
Kwa mchangayiko huu umepelekea gauni kuwa katika level nyigine ya juu; 
Simple & Elegant!















 Nice!


Kwa mtazamo wangu!  hii ingeshonwa ndefu kidooogo igependeza zaidi!

Mchanganyiko mwingine wa kitenge huu hapa, Absolutely Stuning!











































1 comment:

Anonymous said...

Michael Sylvester15:55


1
Reply

Umependeza sn

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!