Tuesday 9 February 2016

ILIYONIKOSHA! Viti tumeuza na hela tumenunulia madawati!!

 Wale mliozoea kuandamana na kwenda Ikulu mkitarajia mtakaribishwa Kwenye sofa laini kisha mgonge chai ya maziwa na juice za kiitaliano imekula kwenu...
Hivi sasa ukumbi wa wageni hakuna Sofa wala Benchi ni mwendo wa kusimama na hakuna Juice wala Maji...sofa tumeuza na kununua madawati ya wanafunzi..




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!