Friday 17 April 2015

AJALI MBAYA YATOKEA KIWIRA MBEYA 18 WAPOTEZA MAISHA ASUBUHI YA LEO


Name:  1429258378794.jpg
Views: 0
Size:  125.7 KB

  1. Ajali ya Hiace imeua watu 24 eneo la Uwanja wa ndege Kiwila Wilayani

    Rungwe Mkoani Mbeya.

    Wadau Niko eneo la tukio, mpaka sasa miili 22 imefanikiwa kutolewa.

    Kwani Hiace hii ilidumbukia mtoni na bado miili miwili imenaswa, ndo inatolewa

    muda huu.

    Watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta.

    Ajali hii imetokea wakati Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma hivo baadhi ya hiace za mjini kuamua kubeba abiria. Inaonekana ni ugeni Wa barabara,

    speed na gari kukosa break za kuaminika.
  2. MAELEZO KWA NIABA YA MDAU 

Habari zaidi zitawajia punde tutakapozipata

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!