Monday 2 March 2015

RATIBA KAMILI YA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA


Ratiba ya kusafirisha mwili wa marehemu Mhe. Capt. John Komba itakuwa kama ifuatavyo:

 Tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. 




Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.

Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.

IMETOLEWA NA;
OFISI KATIBU WA BUNGE
1.3.2015


NA.
MUDA
TUKIOMHUSIKA

1.
12:00 - 01:00

Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbaniKaimu Katibu wa Bunge
2.
01:00 - 04:00Misa ya kuaga mwili wa MarehemuKanisa Katoliki,Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa
3.
04:00 - 04:30·Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee 

·Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao
Katibu wa Bunge
4.
04:33Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwasiliKaimu Katibu wa Bunge
5.
04:36Mhe. Naibu Spika kuwasiliKaimu Katibu wa Bunge
6.
04:39Mhe. Spika kuwasiliMhe. Naibu Spika
7.
04:42Mhe. Waziri Mkuu kuwasiliMhe. Spika
8.
04:50Mhe. Makamu wa Rais kuwasiliMhe. Spika
9.
05:00Mhe. Rais kuwasiliMhe. Spika
10.
05:00Mwili wa Marehemu kuwasili kwa gwaride maalum la Sergeant-At-ArmsKatibu wa Bunge
11.
05:00 - 05:15Sala fupiKanisa Katoliki,Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa
12.
05:15 - 05:20Wasifu wa MarehemuKaimu Katibu wa Bunge
13.
05:20 - 05:30Salamu na Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM)Katibu Mkuu, CCM
14.
05:30 - 05:35Salamu na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani BungeniKiongozi wa Upinzani Bungeni
15.
05:35 - 05:45Salamu na Rambirambi za SerikaliWaziri Mkuu
16.
05:45 - 05:55Salamu na Rambirambi za Uongozi wa BungeMhe. Spika
17.
05:55 - 06:00Neno la Shukrani toka kwa familiaMwakilishi wa Familia
18.
06:00 - 06:15Utaratibu wa safariKaimu Katibu wa Bunge
19.
06:15 - 07:15Kuaga Mwili wa Marehemu kulingana na ItifakiMC
20.
07:15Mwili wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa NdegeMC
21.
07:20 - 07:25Viongozi wa Kitaifa kuondoka kulingana na ItifakiMC
22.
07:40Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa NdegeKaimu Katibu wa Bunge
23.
08:00Mwili, Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea SongeaKaimu Katibu wa Bunge
24.
10:00Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu wa MkoaOfisi ya Mkuu wa Mkoa
25.
10:00 - 10:15Mwili wa Marehemu kuelekea Uwanja wa MajimajiOfisi ya Mkuu wa Mkoa
26.
10:15 - 11:00Mkuu wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa MarehemuOfisi ya Mkuu wa Mkoa
27.
11:00 - 01:00Mwili wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa·Ofisi ya Mkuu wa Mkoa 

·Kaimu Katibu wa Bunge
28.
01:00Mwili kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendeleaMC

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!