Wednesday 25 March 2015

BI HARUSI MTARAJIWA K-LYNN AFANYA BRIDAL SHOWER YA KUKATA NA SHOKA

Bi harusi mtarajiwa na wapambe wake katika tea party iliofanyika weekend hii.

 kitu English style!!


wageni waalikwa ikiwa ni pamoja na Faraja Nyaland, Nancy sumari ,Nasreen na wengine wengi.


I love the decor....
Staili ya vibandiko ndiyo habari ya mujini" soo English"


Nimempenda Nancy na headband( kibandiko) classy!


Ladies!
Hongera sana Ms Klynn.tunasubiri kwa hamu picha za Harusi"

Picha kwa hisani ya MP.


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!