Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.
Saturday 27 September 2014
TUTAKUTANA MTAANI" WARIOBA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilikoya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametabiri kampeni za uchaguzi mkuu ujao kutawaliwa na ajenda ya Katiba mpya ambayo kwa mujibu wake, inaweza kugawa nchi. Jaji Warioba ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu, ameeleza wasiwasi wa rasimu inayopendekezwa kwamba haitapigiwa kura mwaka 2016 badala yake, mchakato wa katiba utaanza upya.
CHANZO CHA MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO ( UTI) TIBA ATHARI NA KINGA YAKE
Maambukizi Katika Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya magonjwa ambayo hayapewi msisitizo wa kutosha katika jamii licha ya kuwa wengi huathirika kwa ugonjwa huu bila kujua chanzo, tiba na kinga yake.
AKON NA TRACE TV WAANZISHA SHINDANO LA MUZIKI NCHI 13 KUSHIRIKI IKIWEMO TANZANIA
Kampuni ya simu ya Airtel ikishirikiana na kituo cha runinga cha Trace na muimbaji wa Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon wameanzisha shindano la kusaka vipaji vya kuimba barani Afrika.
KWA WATANZANIA MLIOKO NJE HABARI NJEMA!
You can now watch Tanzania TV Stations, radio, documentaries, Movies online on www.tanzaniabox.com
MASHARTI YA KUOA CHINA- CHANGIA DAMU NDIPO UOE!
Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya wahitaji.
RAIS KIKWETE ATEMBELEA STUDIO ZA CNN MJINI NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) ‘s Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York.
WANAWAKE JITOKEZENI KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI"
Friday 26 September 2014
WAWAKILISHI WA TANZANIA KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER
Mara baada ya kuungua kwa jengo la Big Brother nchi South Africa na kuhairishwa kwa mashindano hayo na inasemekana kuwa yatafanyika nchi Uingereza na siyo South Africa kama kawaida yake.
Big mwenyewe aanza kutangaza majina ya washiriki katika jumba hilona alianza na washiriki kutoka nchini Uganda na hatimaye nchini Tanzania.
Big mwenyewe aanza kutangaza majina ya washiriki katika jumba hilona alianza na washiriki kutoka nchini Uganda na hatimaye nchini Tanzania.
IDRIS SULTAN na IREN EVEDA ndiyo wawakilishi rasmi wa Tanzania katika jumba la Big Brother mwaka huu.
VIA-BLOG YA WANANCHI
HII IMENISIKITISHA SANA! SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI.
Shuhuda aliyenusurika kwenye mauaji ya Albino ambaye amekatwa mikono yote miwili, Mariam Stanford akitoa ushuhuda wake na killio chake mbele ya meza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi mmoja.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
JIPATIE LAPTOP KWA BEI NAFUU PIGA SIMU +255 718 372227
Cheapest mini laptops just for 230000/=
Pls contact +255 718 372227.
Black Woman Beat by California Cop Wins $1.5 Million Settlement
Marlene Pinnock, an African-American woman who was beat by a California cop, has won a $1.5 million lawsuit and the officer will be resigning. Pinnock will receive the money under a settlement reached Wednesday, CBS News reports.
ASKOFU: WATANZANIA WATACHUKUA URAIA KWINGINE"
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini amesema kukataa uraia pacha ni sawa na kukubali kupoteza watoto na nchi kubaki kama kisiwa wakati nchi nyingine zinafanya hivyo, jambo ambalo Watanzania wengi watakimbilia uraia wa nchi nyingine.
JK AAHIDI SHERIA YA HABARI FEBRUARI 2015
TANZANIA inatarajiwa kupata Sheria ya Uhuru wa kupata Habari ifikapo Februari, mwakani. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana alipokuwa mmoja wa wazungumzaji katika mkutano unaohusu Uwazi na Ushirikiano kati ya Serikali na Jamii.
HAKI ARDHI: MFUMO WA ARDHI UNAINGILIWA NA WANASIASA
TAASISI ya HakiArdhi imesema kuwa mfumo wa ardhi nchini unakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo wanasiasa kuingilia utendaji na maamuzi yaliyofanywa na wataalam kwa ajili ya kulinda maslai yao ya kisiasa.
MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA UN WA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA WASICHANA KIFEDHA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow, Mke wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa ndio walioandaa mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi kuzungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichanakifedha.na “First Ladies Global Call to Action Conference on Women and Girls’ Financial Health.” Tarehe 25 Septemba,2014.
Thursday 25 September 2014
Video: Wanafunzi wa Kiswahili chuo kikuu cha Florida,Marekani na project ya wimbo wa Diamond
Hii ni video ya wanafunzi wa awali wa lugha ya Kiswahili walioshiriki kwenye mradi wa mwaka 2014 uitwao African Language Initiative (AFLI) katika chuo kikuu cha, Gainesville, Florida nchini Marekani. Wakijifunza lugha hiyo kwa miezi sita, waliamua kutengeneza filamu hii fupi kama kumbukumbu ya muda mzuri waliokuwa nao kwenye mradi huo ulioongozwa na Wakenya, Filipo
AJIRA !THE TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, (TCAA) MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 15/10 2014
THE TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY, (TCAA)
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
LADY GAGA NA KIATU CHA ZAIDI YA 9-INCH ONA KAZI HIYO!!
Katika watu wasionitia tamaa kuhusu uvaaji huyu mama namba moja, hanivutiagi hata avae nini!
WADAU WASAIDIE WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI(ALBINO) KUPATA MATIBABU YA SARATANI YA NGOZI
WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino), wamekuwa wakisumbuliwa na maradhi ya ngozi hususan saratani ya ngozi.
RAIS KIKWETE AWA SAUTI YA AFRIKA UN
MABADILIKO ya tabia nchi duniani yanahatarisha uhai na maendeleo ya binadamu, ikiwemo kurudisha nyuma au kufuta kabisa maendeleo ya kiuchumi na kijamii yaliyokwishapatikana.
Subscribe to:
Posts (Atom)