Saturday 25 January 2014
CONCERN AS LIVER DISEASE CASES RISE
GASTROLOGICAL and digestion medical practitioners in the country are increasingly worried following the rising cases of people suffering from liver cancer brought about by Hepatitis B, C and Cirrhosis or liver shrinking.
Speaking exclusively to the ‘Daily News on Saturday,’ the Muhimbili National Hospital -based East Africa Gastroenterology and Digestive Oncology Training Centre Head, Dr John Rwegasha said that prolonged alcohol use and to some extent the wrong nutrition were other causes of liver complications.
AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI KILIMANJARO
makonda wote.
Ni baada ya Semi kugonga gari la kampuni ya LM Fusso
KWA HISANI YA MASAI NYOTAMBOFU...
NIMEJENGA NASOMESHA KWA KAZI YA KUKAANGA SAMAKI FERI...
Dotto akiwa katika shughuli zake za kukaanga samaki
Ni eneo ambalo limetanda moshi mzito ukiambatana na moshi wa sigara, kutoka kwa baadhi ya wanaofanya kazi kwenye eneo hilo.
Napata shauku ya kufahamu ni kwa namna gani binadamu anaweza kukaa kwenye moshi kama huo, anapata nini hadi anahamasika kukaa humo.
NAFASI MPYA ZA KAZI SERIKALINI MWISHO TAREHE 6/2/2014
NAFASI MPYA ZA KAZI SERIKALINI MWISHO TAREHE 6/2/2014
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/E/32 23rd January, 2014
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology (CAMARTEC), Cashewnut Board of Tanzania, Tanzania Commission for Aids (TACAIDS), Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Institute of Accountancy Arusha (IAA) Tanzania Institute Of Accountancy (TIA), The Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), Forestry Training Institute (FTI), Olmotonyi, Tanzania Coffee Board, Tanzania Industrial Research And Development Organization (TIRDO), Institute of Adult Education, Ardhi Institute Morogoro Ardhi Institute Tabora and Tanzania Smallholders Tea Development Agency. The Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 51 vacant posts in the above Public Institutions.
NB: GENERAL CONDITIONS

JOYCE KIRIA: WANAWAKE WA TANZANIA TUKIMBILIE WAPI?
Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita, huko wilaya ya BUKOMBE mkoani GEITA.
Tukio hili liliripotiwa na RFA. Ni matukio yanayotokea mara kawa mara, wahanga wakubwa (watendwa) ni WANAWAKE.
Cha ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi. Wanawake tusimame pamoja kusema inatosha kwa unyama huu mkubwa tunaofanyiwa!
Poleni kwa picha hii mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu...
Natamani hamasa ya kutokomeza ukatili ingefanyika kwa chopa kama....... Malizia mwenyewe!

Friday 24 January 2014
VITA UISIKIE KWA JIRANI! KWA WASIOJUA ATHARI ZA VITA ANGALIA HII.....
The little lad is completely buried beneath rock and dust as the eight-minute video begins
The little lad is completely buried beneath rock and dust as the eight-minute video begins.
KWELI SIKU YAKO IKIFIKA IMEFIKA! DEREVA WA LORI ATUMBUKIA KATIKA DARAJA LA DUMILA!
VIDEO KWA HISANI YA LUKAZA BLOG
MAWAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUBALIANA KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA UTENDAJI WA KAZI
WAJIPANGA KUPUNGUZA VIFO VYA WANAWAKE NA WATOTO
Mkoa wa Mara umeanza kuchukua hatua mbalimbali za kupambana na ongezeko la vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga.Mkakati huo unaambatana na kuanzisha mpango maalum wa ujenzi wa vituo vya afya ili kusogeza huduma kwa jamii.
Thursday 23 January 2014
MAJINA YA WALIOFUZU TAKUKURU( PCCB) APTITUDE TEST RESULTS AND CALL FOR INTERVIEW
1. APTITUDE TEST RESULTS Click here to download in PDF
2. CALL FOR INTERVIEW Click here to download in PDF
First picture of jealous student who threw acid in face of Victoria Secret worker in "evil, barbaric" attack
Mary Konye disguised herself in a Muslim veil before hurling sulphuric acid in friend Naomi Oni's face in a horrific Katie Piper copycat attack
PA
This is the jealous student who hurled acid in her friend's face in a Katie Piper copycat attack.
Mary Konye, 21, attacked pal Naomi Oni while disguised in a Muslim veil.
Naomi, 21, was left scarred for life following the horrific assault in Dagenham, east London, on December 30, 2012.
London's Snaresbrook Crown Court heard that Konye attacked the Victoria Secret worker because she once called her 'ugly'.
Following the attack, Konye pretended to give Ms Oni a shoulder to cry on.
Picha Kutoka Ubalozi wa Uingereza Nchini Tanzania:Ile Ziara ya Kifimbo Cha Malkia wa Uingereza Kilipotembelea Jiji la Dar es Salaam na Zanzibar.
Queens Baton raced in streets of Dar es Salaam
HE British High Commissioner Dianna Melrose hands over Queens Baton to Dr Jama Gulaid Country Representative UNICEF Tanzania
WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO
Mkurugenzi
wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akimkaribisha
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.Frederick Sumaye alipowasili mapema leo kwenye
makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar,pichani kati
anaeshuhudia ni Ofisa Mahusiano wa Clouds Media Group,Simon Simalenga.
KIPINDI CHA THE MBONI SHOW CHAWAALIKA WASANII WA FILAMU NCHINI STEVE NYERERE NA ELIZABETH MICHAEL "LULU" WALIO CHINI YA KAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED
Msanii
wa Maigizo Tanzania Steve Mongere aka Steve Nyerere akisalimiana na
Mwendesha Kipindi cha The Mboni Show , Mboni Masimba (Wa Kwanza kushoto)
mara baada ya kuwasili ndani ya mjengo ambapo kipindi hiko hurekodiwa
Pembeni ni Msanii nguli wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael "Lulu"
akifuatiwa na Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao
ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa Filamu za Kitanzania
Nchini.
HALI YA MWIGIZAJI MKONGWE BLANDINA CHAGULA(JOHARI) SI NZURI AMELAZWA HOSPITALI
Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.
ANA UMRI WA MIAKA 12 AOLEWA KWA NG'OMBE 15
Mtoto huyo ambaye jina lake tumelihifadhi kutokana na sababu za kimaadili, hajui kiswahili vizuri, hivyo nalazimika kumuomba mtoto mwenzake, Stela Paulo aje anisaidie kuongea naye.
HUYU NI WAKUFUNGWA TU !SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO!
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana.
Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao kwa njia za ajabu na kusema walikuwa wamewekwa ndani kama misukule nyumbani kwa mganga huyo.
TAARIFA KAMILI NA PICHA ZA AJALIILIYOUA WANAFUNZI WATANO MTWARA
Wanafunzi watano wa shule ya sekondari Mustafa Sabodo iliyopo nje kidogo ya mji wa Mtwara wamefariki Dunia na wengine 47 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari wakati wakikimbia mchakamchaka mapema leo asubuhi.
Taarifa inasema kuwa gari hilo lenye namba za usajili T174 AED aina ya Mercides Benz lilikuwa likiendeshwa na Dereva Baraka Mgwegwe ambapo likiwa kwenye mwendo kasi liliacha njia na kuwagonga wanafunzi hao ambao walikuwa kandokando ya barabara wakikimbia mchakamchaka kurejea shuleni.
Wednesday 22 January 2014
Mjukuu wa Mandela ashitakiwa kwa kosa kumuonyeshea mtu silaha
Mjukuu waRais wa zamaniwa Afrika KusiniNelson Mandelaameshitakiwa kwa kosa la kumtishia mtu silaha ya motomwezi uliopita,amesema mwendesha mashtaka Afrika ya kusini.
Mandla Mandela ni mshitakiwa wa kutishia silaha baada ya mtu huyo kugonga gari lililokuwa likiendeshwa na moja ya wageni wa Mandela mwezi Oktoba,.
Mandela alionekana katika mahakama ya hakimu, Mthatha, na kesi yake iliahirishwa hadi Februari 24.
Mandela alionekana katika mahakama ya hakimu, Mthatha, na kesi yake iliahirishwa hadi Februari 24.
NA DJ FETTY BLOG
Taarifa Rasmi Kwa Umma Kutoka IKULU:Rasimu ya Katibu Mpya Kuchapwa kwenye Gazeti la Serikali litakalotolewa Ijumaa, tarehe 24 Januari 2014.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
--
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Kifungu
20 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83, Toleo la 2013
inamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuchapisha kwenye
Gazeti la Serikali Rasimu ya Katiba ndani ya siku thelathini (30) baada
ya kukabidhiwa rasimu hiyo na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue inaeleza kwamba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, alikabidhiwa Rasimu ya Katiba tarehe 30 Desemba, 2013, na ataichapisha kwenye Gazeti la Serikali litakalotolewa Ijumaa, tarehe 24 Januari 2014.
Aidha, kifungu 22 (1) (c) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83, Toleo la 2013, kinampa madaraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushauriana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuteua wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka miongoni mwa majina yanayopendekezwa kwao na makundi yaliyotajwa ndani ya Sheria hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakusudia kukamilisha uteuzi wa Wajumbe hao baada ya kushauriana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, mwanzoni mwa wiki ijayo na majina hayo kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali kama kifungu 22 (3) cha Sheria iliyotajwa inavyomtaka kufanya.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
22 Januari, 2014

Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ yazidi kuwapa watanzania wengi faraja
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando (kulia) akisisitiza
jambo wakati akiwatangaza washindi wa droo ya wiki ya tisa ya promosheni
ya Airtel Mimi ni Bingwa iliyochezeshwa jana na kuwapata washindi wa
pesa taslimu ya zaidi ya Shilingi milioni 22 na kumpata Edwin Edmund
Kajimbo kutoka Iringa aliyejishindia tiketi mbili ya safari
iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda kuangalia mechi ya ligi kuu ya
Uingereza moja kwa moja ‘live’ kwenye uwanja wa Old Trafford. Kushoto ni
Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania Mrisho Millao.
PRESIDENT MUSEVENI ADDRESSES EALA PLENARY IN KAMPALA
Kampala,
Uganda: President Yoweri Museveni has today addressed the 4th Meeting
of the 2nd Session of the 3rd East African Legislative Assembly in
Kampala, Uganda.
HATIMAYE SAFARI YA KUMRUDISHA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WA NNE NYUMBANI KWAO IMEANZA, IKIONGOZWA NA TIMU YA MBEYA YETU BLOG.
Mama wa watoto wa Nne wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja na wauguzi ambao wamebeba watoto wakimuaga katika Hospitali ya Meta Jijini Mbeya mapema asubuhi ya leo.
UMEONA HII DHARAU? MWANAMKE WA RUSSIA HIKI NI KITI CHENYE UMBO LA MWANAMKE WA KIAFRIKA..
Russian Socialite ambae ni muhariri wa jarida la Garage magazine, Dasha Zhukova akiwa pia ni patner wa mmiliki wa club ya Chelsea Roman Abramovich, ameingia kwenye maporomoko ya matusi na maoni mengine mazito ya watu mbalimbali mtandaoni baada ya kusambaa kwa picha inayomuonyesha akiwa
amekaa kwenye kiti kilichotengenezwa kwa mfano wa Mwanamke wa Kiafrika.
Mwanamke huyu ambae anasema ana mapenzi na fashion pamoja na usanii wa vitu kama hivi amekosolewa na wengi ambapo baadhi ya Wanawake hata wenye ngozi kama ya Dasha, wamemkosoa huku wengine wakiuliza ‘bado tunafanya vitu hivi mpaka huu mwaka wa 2014?’

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAJADILIANO YA WADAU KUHUSU KUTOKOMEZA MAAMBUKIZI YA VVU TOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) na Mheshimiwa Mama Zakhia Meghji, Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA, (kushoto), wakielekea kwenye chumba cha
mkutano.
MBUNGE WA CHALINZE (CCM) MH. SAID BWANAMDOGO AFARIKI DUNIA.
Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu..
Tuesday 21 January 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)