Tuesday 21 October 2014

TANZIA: MSANII YP WA KUNDI LA "WANAUME TMK" FAMILY AFARIKI DUNIA.



Msanii 'YP' toka kundi la TMK Wanaume Family amefariki dunia jana usiku katika hospitali ya Temeke ambako alikuwa akipatiwa matibabu akisumbiliwa na kifua kwa muda mrefu lakini hali ilikuwa mbaya katika wiki mbili kabla ya kifo chake.

CHANZO: JMF

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!