Wednesday 29 October 2014

BAADAYA RAV4 SASA LULU AJA NA HII KITU HAPO!!



http://photos-b.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10748505_1538660249703977_1589121060_n.jpg
Baada ya kukaa na gari yake Rav4.




Sasa msanii Elizabeth 

Michael "Lulu" ameji-upgrade na kununua gari mpya ya 

ukweli sana.Hii inaonyesha kwamba tasnia hii ya Filamu 

inalipa sana baada ya watu kuwashangaa wasanii kama Irene 

Uwoya kwanini wanaendesha magari ya kifahari



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!