Wednesday 29 October 2014

AJALI MBAYA YA GARI DOGO LA ABIRIA ARUSHA, WATU TISA WAKISIWA KUPOTEZA MAISHA! WAKATI HUO HUO JIJINI DSM TRENI YA MIZIGO YAANGUKA VINGUNGUTI


Watu 9 wamekufa na wengine 2 wamejeruhiwa baada ya basi dogo la abiria Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na lori mafuta katika eneo la Usa River, Arusha 





 Imetokea ajali mbaya eneo la Tengeru kuelekea Usa, kati ya lory na gari dogo la abiria (hiace) watu kadha wamefariki na majeruhi ni wengi.

Picha ndio hizo hapo

 Source; RADIO ONE STEREO

WAKATI HUO HUO DAR-ES SALAAM TRENI YAANGUKA VINGUNGUTI

 Tren yaangusha behewa  maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wameshafika eneo la tukio watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mohamed 


enterprises na Azam. Angalia Picha. CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.







No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!