Wednesday 17 September 2014

MPIGIE KURA MISS KIGAMBONI (2013) MAGDALENA OLOTU KWENYE SHINDANO LA “NEXT AFRICA SUPER MODAL ULTIMATE SEARCH 2014″

Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa  Afrika shindano hilo linaitwa “Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014″ litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa facebook uitwao “Supermodel Search Africa” au bofya ili jina lake MAGDALENA OLOTU ili kumpigia kura.
WATANZANIA TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!