Thursday 29 May 2014

MWANAMITINDO HAPPINESS MAGESE ANAJIPANGA KUJENGA HOSPITALI YA WANAWAKE TANZANIA..




Happiness Magese mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania na Miss Tanzania 2001, sasa kutokana na tatizo alilonalo mwanadada 'Millen' amesema anajipanga kujenga hospitali ya wanawake nchini. Magese alisema hayo  wakati akielezea historia ya maisha yak ambayo imemlazimi kutolewa kizazi kutokana na matatizo ya tumbo la kizazi yanayowapata wanawake wengi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!