Tuesday, 23 July 2013

HAPANA CHEZEA WEMA SEPETU WEWE:ANGALIA PICHA ALIVYOWAFANYIA PARTY KAJALA MASANJA NA B 12:

Mastaa wawili Hamisi Mandi maarufu kama B12 na Kajala Masanja ambao wote ni marafiki na wote wawili na share siku moja ya kuzaliwa. Leo ndiyo ilikuwa birthday yao ambapo Kajala Masanja alianza kwa kupeleka misaada kwa watoto yatima na baadaye kuungana na B12 kwenye party waliyoandaliwa na Wema Sepetu nyumbani kwa Wema. Kutoka bossngasa.com tunawatakiwa maisha mema na marefu wote wawili na hizi hapa ndiyo picha zenyewe ambapo shughuli nzima ilitanguliwa na futari.         


Wema Sepetu akimlisha keki B12

Zamu ya Kajala ilifika

Kulikuwa na keki zaidi ya nane kama unavyoziona

Hapa B12 akiwa kwenye futari ambayo iliandaliwa na Wema Sepetu

Wadau,ndugu na marafiki ambao walialikwa na Wema Sepetu


Kajala Masanja,Zamaradi Mketema,Wema Sepetu

Hii keki ndiyo iliyotia fora kwenye party
Add caption
Keki hii kutoka kwa Wema kwenda kwa Kajala

Keki nyingine kwa ajili ya Kajala

Nyingine tena kwa ajili ya Kajala

Kutoka kwa Wema kwenda kwa B12
`
Add caption
Kajala Masanja aliletewa keki za kutosha siku hii

Hawa ndiyo watoto waliozaliwa siku hii

Beautiful people
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Hapa ilikuwa ni lights,camera then Instagram

Wema akiongoza wimbo wa happy birthday
OLYMPUS DIGITAL CAMERA


Hugs hugs hugs
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
Add caption
Ndugu MC wa party Wema Sepetu
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

CREDIT NA MILLARDAYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!