Sunday, 14 April 2013

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MH ANGELLAH KAIRUKI ATEMBELEA BANGLADESHI KUJIFUNZA USAJIRI WA VIZAZI NA VIFO

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Angellah Kairuki aliongoza ujumbe wa Tanzania kwenda nchini Bangladesh.  Ujumbe huo uliojumuisa wataalam kutoka taasisi mbalimbali za Serikali zinazojihusiha na masuala ya usajili ikiwa ni pamoja na RITA, NIDA, TRA, SerikalizaMitaa, e-Government, Tume ya Taifaya Uchaguzi na Ofisi yaTakwimu ulikwenda kujifunza namna ambavyo nchi ya Bangladesh ilivyoweza kufanikiwa katika zoezi la Usajili wa Vizazi naVifokwa zaidi ya asilimia 95ya wananchi wao


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!