Saturday, 13 April 2013

SASA NI LAMI TU! TOKA TANGA MPAKA KENYA, BARABARA MPYA YAZINDULIWA RASMI....

Rais Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali, na mtendaji mkuu wa  mfuko wa changamoto za Millenium Challenge Corporation toka nchini Marekani Bw. Daniel Wolde Yohannes, sambamba katika ufunguzi huo.
Rais akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara hiyo.
Katika kukamilisha mpango mzima wa miundo mbinu, Rais Kikwete amezindua rasmi barabara yenye urefu wa kilometa 65.14 toka Tanga- Horohoro, barabara itakayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya. Mradi huo umetolewa na serikali ya Marekani kupitia mfuko wa changamoto za millenia(Millenium Challenge Corparation  MCC) Rais aliambatana na mtendaji mkuu wa mfuko wa changamoto wa Millenium Challenge corporation wa Marekani Bw.Daniel Wolde Yohannes .
Kukamilika kwa barabara hii kutapanua nafasi za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya.



picha kwa hisani ya michuzi blog.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!